Baada ya kundi la Pah One kufa katika tasnia hii ya muziki hapa nchini tanzania sasa wasanii hao baadhi wameamua kuanzisha kundi jipya linalojulikana kama Pah One Formely ambapo ameongezeka msanii mwengine kwa sasa anayekwenda kwa jina la Wista hivyo kwasasa kundi hilo lina wakilishwa na Nahreal, Aika pamoja na Wista, hivyo mashabiki wengi wa muziki wa Bongo Flava wanauliza je wataweza kufikia kama levo zile za mwanzo walipo fikia ?