KALA PINA AMPIGA CHIDI BENZI CLUB MAISHA


Huyu ndiye msanii kala pina pia unaweza kumuita Nabii Koko ni msanii anayefanya muziki wa hip pap hapa nchini Tanzania ni msanii amabye wasanii wengi sana huonekana kumuogopa sana kutokana na kuonekana kuwa mgomvi lakini Kala Pina katika interview zake nyingi huwa hukataa sana kuwa yeye si mgomvi sema wasanii wenyewe ndio hupenda kumchokoza, ilikuwa ni juzi tu msemo huu kudhihirika kwa haya ninayozungumza katika ukumbi wa Club Maisha baada ya msanii Chidi Benzi kupanda stejini na kuingilia show ambayo ilikuwa ni yakina Kala Pina na kusababisha ugomvi hatimaye ndipo alipo panda msanii Kala Pina na kumpiga ngumi msanii Chidi Benzi ndipo watu waliingilia ugomvi huo na kumtoa Chidi Benzi nje ya Club hiyo, ndipo show ikaendelea na sio mara ya kwanza visa kama hivi hutokea sana kwa wasanii wetu hapa nchini Tanzania.
Previous
Next Post »