POLE PRO JAY Posted by Unknown On 11:02 AM News RIP Mama Rosemary Majanjala huyu ndio mama mzazi wa PROF JAY ambaye alipata ajali ya kugongwa na gari akiwa maeneo ya nyumbani kwa mwanae Prof huku Mbezi Mwisho. Msiba uko nyumbani kwa Prof Jay Mbezi Mwisho baada ya stendi mpya ya mabasi mbele kidogo utaona njia yakushoto inamagari mengi ndipo msiba ulipo. Share : Tweet ✚ Related Post