Hali ya msanii wa maigizo matumaini yasadikiwa kuwa mbaya sana, baadhi ya watu wa karibu wa msanii huyo wamesema kuwa matumaini alianzakuuguwa muda mrefu akiwepo huko nchini msumbiji, kwasasa matumaini anategemea kuingia leo nchini tanzania, watanzania tumuombee azidi kupata afya njema zaidi.