video mpya ya msanii darasa nishike mkono ipo mtaani nw

akiongea na blog hii msanii darasa amesema kuwa video yake ya nishike mkono kwa sasa ipo mtaani ni video nzuri sana na itawafundisha wengi sana kutokana na video yake mpya hiyo pia amesema kuwa mwanamuziki chipukizi winie amefanya vizuri sana kwenye wimbo huo hadi katika video yake kwsababu ni mara ya kwanza kuimba na kufanya video vizuri ikisema hivyo msanii darasa.

Previous
This is the oldest page