JE URAFIKI WAO UTAZUDI KUDUMUU??
Walianza muziki wote wakiwa wadogo sana na hadi sasa wanafanya miziki wakiwa kama watu wazima sasa lakini watu wengi wanajiuliza je urafiki wao utazidi kudumu au?wote wakiwa na watoto kwa sasa na kila mmoja kumpa mtoto wake jina la mwenzake kweli huo ndio urafiki wa dhati nice NYANDU TOZI NA MR,BLUE