WASANII WA KIGOMA WAJA TENA

Baada ya LEKA DUTIGITE, ngoma iliyofanya vizuri sana redioni na kwenye masikio ya wengi, kundi hilo limerudi tena, likifahamika kama Kigoma All Stars wakiwa wamekuja na ujio mwingine mpya na track inaitwa ''Nyumbani''.                                                     
Previous
Next Post »