Hii ndio video mpya ya msanii Ommy Dimpozi akiwa na vaneesa mdee video ambayo imeleta gumzo sana kuwa haina viwango vya kutosha na watu wengu kuitupia lawama sana kampuni ya Ogopa video kwa kumfanyia Ommy Dimpozi video ambayo ipo chini ya kiwango akiongea na East Africa Televishen kwenye kipindi cha Friday Night Live amesema kuwa video hiyo inakiwango kizuri na yupo tayari kwa maoni yoyote kutoka kwa mashabiki wake, pia watu wamelalamikia kuwa wimbo huo ni mzuri sana kwa kusikiliza ila video yake ni mbovu sana.