Baada ya kufanya video nyongi na nzuri msanii wa kizazi kipya hapa nchini anayefahamika kwa jina la Richard mavoko ameamua kufanya video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la one time akiwa amefanya na Addam juma production ikiwa ni next level ametabari mengi sana kuhusiana na video yake mpya hiyo kuwa italeta mapinduzi sana hapa nchini ukizingatia na swala la ving'amuzi kwasasa ikiwa pia ni tatizo la taifa.