WEMA SEPETU OFISI MPYA

Msanii wa sanaa ya maigizo hapa nchini mwana dada Wema Sepetu juzi aliwaalika waandishi wa habari akielezea juu ya ofisi yake mpya ambayo itadili na vipaji mbali mbali vyo kuigiza pamoja na mabo mengine kama modaling na sanaa kwa ujumla.
Previous
Next Post »