BIBI KIDUDE AFARIKI DUNIA
Mwana muziki mkongwe wa muziki wa asili ya Tanzania hasa pwani ambaye alisaidia wasanii wengi sana wa muziki wa bongo flava kufanya vizuri kwenye muziki huu hapa nchini na hasa muziki wa mwambao yaani taarab, Bibi Kidude amefariki dunia kwa kil kinacho sadikiwa kuwa kuugua hadi kupelekea kifo chake, Mungu amlaze mahala pema peponi AMINA.