CHEKI HAPA WAFANYAKAZI WA EA RADIO WAKILA NDIZI .

Leo mapema asubuhi wafanyakazi wa EA radio walikutana pamoja na kula ndizi kupinga vitendo vya ubaguzi.