Lil STIGGAR featuring Queen Darleen- ‘Anatafuta kick
Huyu ni Msanii wa Hip hop pekee kutoka Mbey City anayefanya vizur sana kwasasa kwenye muziki wa Hip Hop hapa mchini Tanzania ; Lil Stigger kwasasa amefanya Ngoma mpya inayokwenda kwa jina la ANATAFUTA KICK akiwa amemshirikisha Mwana dada kutoka kwenye Muziki wa Bongo Flava Queen Darleen . Lil Stigger Ameseman anashukuru sana kwa muziki wake kufika Levo nzuri zaidi na hatimaye kuchezwa kwenye vituo mbali mbali vya Radio Hapa Tanzania.