SITTI ABBAS MTEMVU MISS REDDS TANZANIA 2014

                                                                 
Mrembo wa Redd's Miss Tanzania 2014,Sitti Abbas Mtemvu akiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa pili,Lillian Kamazima (kulia) na Mshindi wa Tatu,Jihhan Dimachk mara baada ya kutawazwa rasmi kwenye ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar es Salaam.Sitti Mtemvu alianza kwa kunyakua Redds Miss Chang'ombe na baadaye Redds Miss Temeke. Sitti ni binti wa Mbunge wa Temeke, Mhe. Abbas Mtemvu: Mbali ya yote kumekuwa na muonekano wa tofauti kutoka kwa baadhi ya wadau kuhusu ushindi wa Miss huyo, wengi wao wakionekana kama hawakupendezewa kwa mshindi huyo, na badhi ya watu wakielezea kigezo cha lugha ya kifaransa ndio kilichopelekea kushinda wa Miss huyo, Sitti Abbas Mtemvu

Previous
Next Post »