NEW; VIDEO MABESTE ft MSECHU- NISHAURI Posted by Unknown On 6:41 PM video Kati ya video amabyo Director wa Video ni mke wa Msanii Mabeste anayefahamika kama Lisa, amesema kuwa video hii imechukuwa kiasi flani cha fedha na anamshukuru sana mke wake kwa kipaji alichonacho kwa kusimamia video yake hii (Nishauri -ft Msechu) Share : Tweet ✚ Related Post