NISHER: KATUA DAR TAYARI KWA KUFANYA VIDEO MPYA YA DJ CHOKA PRESS PLAY KUTOKA B HITS, IKIWA NI NGOMA YENYE WASANII KIBAO WA KALI WA HAPA BONGO,
Director kutoka Arusha maarufu kama Nisher baada ya kufanya vizuri
katika upande wa production kupita Nisher Entertainment sasa anazidi
kuwafutia watu wengi sana katika tasnia hii ya muziki,sasa kesho
anatarajia kutua Dar es Salaam kwa kujiandaa kufanya video mpya ya Dj
choka Press Play kutoka B hits. kwa wale ambao wanasubiria video mpya ya
Press Play basi huyu ndiye atakayehusika katika kichupa.