Nijuzi juzi tu baada ya kuwapa suprise ya kutosha mashabiki wake pale alipo panda stage na kuimba na msanii wa hip pap bongo Roma mkatoliki kwenye shoo iliyofanyika pale coco beach show hiyo ilikuwa ya tigo,msanii Ney wa mitego akiwa na watu kadhaa amepata ajili mbaya iliyo mpelekea rafiki yake kuumia sana ila ney hakuumia sana mungu akupe nguvu katika kipindi hiki cha majonzi.