MWANAMUZIKI GOLDIE AFARIKI DUNIA

Mwanamuziki kutoka Nigeria Goldie na aliyekuwa pia katika jumba la big brother africa amefariki dunia usiku wa jana gafla kwa kuanguka na kupoteza maisha kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni presha ndio iliyompelekea kupoteza maisha mwanamuziki huyo, mbali ya yote pia mwana muziki huyo alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamuziki kutoka kenya Prezoo na walikuwa na mipango mingi pia ya baadae ya kuowana pia. Mungu amlaze mahala pema peponi amina.
Previous
Next Post »