NEW BEN POAL
huyu ndiye msanii Ben Poul msanii ambaye watu wengi humpenda hasa anapotumia sauti yake vyema katika uimabaji wake na nimsanii mwenye tuzo 2 sasa za muziki huu wa RNB hapa tanzania almaarufu bongo flava , upole wake, heshima na hekima ndio chanzo cha yeye kufanya poa zaidi katka muziki huu wa bongo flava hapa nchini amekuwa akishirikishwa sana na wanamuziki wengine hasa wa hip pap wa hapa nchini na kufanya poa sana.. huyu ndie new Ben Poul.