Mbunge
wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, ametangaza kiurudi
vitani na menejimenti ya Clouds FM.Uamuzi huo, baada ya kutolewa kwa
hati ya wito wa mahakamani kwenda kwa wasanii wanaounda Kundi la
Mapacha, James Kasulwa ‘Kulwa’ na Levinson Kasulwa ‘Dotto’ ambao ni
memba wa mtandao wa Vinega Shauri hilo la mahakamani, Mapacha ni
wadaiwa, wakati mlalamikaji ni Mkurugenzi wa Mtendaji wa clouds.