DOGO JANJA AJITOA KWA USTAZ JUMA

Msanii wa muziki wa hip hop hapa Bongo Dogo Janja ameamua kutoka kwenye menagement yake ya Ustaz Juma na Musoma na kuamua kufanya kazi mwenyewe bila kuwa na usimamizi wowote kama wasani wengine wa muziki wa Bongo Flava wanavyofanya hapa nchini, Msanii huyo Dogo Janja amemua hayo baada ya kulalamika kuwa anapelekwa pelekwa na menagement yake hiyo hivyoameamua kufanya kazi zake mwenyewe bila usimamizi wa mtu yoyote na kusema kuwa sasa amesha kuwa na anajua nini anafanya.
Previous
Next Post »