JOINT MPYA YA HISIA WA TPF HIVI KARIBUNI

Mshiriki wa Tusker Project Fame 2013 Mtanzania Elisha Hisia amabye asili yake ni Arusha na anasoma nchini kenya kwa sasa, Anatarajia kuachia ngoma yake mpya hivi karibuni inayokwenda kwa jina la Mawazo akiongea na blog ya skillszamtaa amasema kuwa wimbo huo unamalizika kufanyiwa mixing za mwisho na kutoka hivi karibuni amawaahidi watanzania wakae mkao wa kula kusubiria ngoma hiyo...
Previous
Next Post »